Kocha Simba Akiri Pengo la Inonga Bacca
Mabao mawili ya Mtibwa Sugar yameonekana kumkera Mbrazil huyo na hakusita kuonyesha kusikitishwa kwake
Mabao mawili ya Mtibwa Sugar yameonekana kumkera Mbrazil huyo na hakusita kuonyesha kusikitishwa kwake
Tunahitaji kucheza soka safi na kushinda, hilo ndilo lengo letu
Mambo ya msingi wanayafanya kiushikaji kitu ambacho kinaharibu hata hadhi ya Ligi kuu,
Simba wameweka Kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya kimafaifa, nini sababu kuu ya kutoka nje ya nchi mara kwa mara.
tumeachana nao, na tunawashukuru ninyi mashabiki wetu kwa hamasa na uvumilivu wakati wote.
Nawaheshimu Prisons lakini sina hofu kwasabu timu ni zile zile ambazo tunazifahamu, na mimi nazifahamu vizuri timu za Tanzania
Tutazimia uwanjani, tutalala uwanjani, ilimradi tuhakikishe Manispaa ya Kinondoni inaendelea kuwepo kwenye ramani ya Ligi kuu msimu unaokuja, asanteni
JKT Queens ambao wamechukua ubingwa bila kupoteza mchezo hata mmoja sasa watahamishia nguvu zao katika michuano ya kanda ya Cecafa ili kupata mwakilishi ambae atakwenda kuiwakilisha kanda hii katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Endapo watanyakua ubingwa huo maana yake watakua wamewalipa kaka zao wa JKT Tanzania ambao wametwaa ubingwa wa Ligi ya Champioship na kurudi Ligi Kuu.
Nitoe rai kwa mashabiki wote wa KMC na wakazi wa Kinondoni kwamba bado tuna nafasi yakwenda kupambana mpaka tone la mwisho, ni kipindi ambacho tunahitaji kutumika zaidi ili msimu unaokuja tuweze kuwepo