Sababu nne kwanini Yanga itaifunga Mbeya City
Yanga inaanza kupata ushindi leo
Yanga inaanza kupata ushindi leo
Bernard Morrison mpaka sasa inaonekana anadaiwa na Simba
Adui yako unamuangalia kwa jicho la usoni ‘la mbali’ au jicho la usoni ‘la mbali’? Mtandao wetu unakupa hili la mbali, hebu tazama hii.
Klabu ya Simba inaweza kuwa nanafasi nzuri kutwaa tena tuzo hii msimu huu, lakini pia itatakiwa kuzingatia takwimu hizi.
Achana na jezi zinazotangaza mbuga zetu kinamna tofauti, lakini tuangalie mechi hizi ambazo zaidi ya kuzifuatilia hapa zinaweza kukufanya urambe mkwanja pia.
Tunastahili kusimama na kumpigia makofi John Bocco.
Maamuzi yake mawili ni ya hovyo ila yanabeba dhana kuu ya baadhi ya waamuzi wetu ya kupenda “kubalance” mambo uwanjani.
timu 12 zitashuka katika viwanja mbalimbali kuashiria ufunguzi wa Ligi pendwa na maarufu Afrika Mashariki na Kati.
Bwalya amejiunga na Simba akitokea kwao Zambia katika klabu ya Lusaka Dynamos, ambapo inasemekana Simba waliwapokonya wenzao Yanga tonge mdomoni kutokana na Yanga pia walimuweka kwenye mipango yao ya usajili katika msimu huu.
Baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii uliopigwa….Stori zaidi.