Mtoto wa Mfalme anawakimbiza!
Mbio za kuwania Galacha wa mabao tayri zimeanza kwa kasi katika msimu huu.
Mbio za kuwania Galacha wa mabao tayri zimeanza kwa kasi katika msimu huu.
Tunadharau kiingilio kidogo cha SIMBA, Bhakresa anauza vitu kwa shilingi mia.
Yanga wenyewe wanakwambia “Made in Congo”.
Nahodha John Bocco amewaita mashabiki wa Simba huku pia akiahidi burudani yakutosha na mabao mengi pia.
Hapana shaka hakuna ubishi kuwa Haruna Niyonzima anajua kuuchezea mpira. Lakini huu ujio wa huyu mwingine ni barah!
burudani kwa mashabiki wake ambao tangu msimu huu uanze hawajaiona timu yao na pia hawajawaona wachezaji wao wapya.
John Mbise pia hakusita kutoa sababu zilizomfanya kuondoka katika timu ya Namungo fc
Lengo kubwa la Yanga msimu huu ni kubeba ubingwa.
Maamuzi hufanywa kwa ushirikiano wa mwenyekiti wa klabu , kamati tendaji na wadhamini
Hajacheza miezi mitano inahitaji apewe dakika chache