Yanga na Namungo ni vita ndani ya vita kwa Mkapa.
Hivyo very possible kupata magoli wote wawili kwenye mechi hii na kufanya mbio za kuwania kiatu cha ufungaji bora kuwa ng’adu ng’adu kwa wawili hao.
Hivyo very possible kupata magoli wote wawili kwenye mechi hii na kufanya mbio za kuwania kiatu cha ufungaji bora kuwa ng’adu ng’adu kwa wawili hao.
katika mzungungo wa pili wa Ligi ambapo katika mzungungko wa kwanza Yanga walishinda mabao matatu kwa moja katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Binafsi nilitaraji Dube anakwenda kurithi ufalme wa Meddie nikiamini yeye ni kijana zaidi na anaweza kuwepo kwenye ligi yetu kwa muda mrefu ujao
“Binafsi Nina akili zangu timamu ninazozitegemea katika utashi, kuamua, kuwaza na kuwazua”
Natambua mchezo hautakuwa mwepesi kwa pande zote mbili wenyeji na wageni wao ‘Wanalunyasi’. Kwanini basi utakuwa na ushindani mkubwa hivyo?
Sina uhakika kama Azam na Yanga wakutanapo ni derby au ni big match ama ni crucial match.
Mpaka sasa Yanga haijapoteza mchezo wowote katika NBC Premier League huku akiwa ameshuka uwanjani mara 18.
Benki ya NBC imezindua Huduma ya Bima ya Maisha na Afya kwa Wanamichezo.
Panapo majaliwa tunakwenda kuangalia moja ya mchezo mgumu katika ratiba ya ligi kuu ya NBC kwa upande wa Wananchi.
Bai moja bila dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Kagera na sasa dhidi ya Mtibwa Sugar