Simba dhidi ya Ruvu Na vita ya nafasi katika msimamo
Kwa upande wa wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kuna taarifa za chini chini kwamba kuna mahusiano ‘dhaifu’ kati ya nyota
Kwa upande wa wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kuna taarifa za chini chini kwamba kuna mahusiano ‘dhaifu’ kati ya nyota
Kuna kutangaza vita na kupigana vita miaka yote Ruvu huwa wanatangaza vita lakini huwa hawana uwezo wa kupigana vita.
Msimu uliopita hadi kufika round ya 22 japo timu zilikua nyingi lakini timu 7 zilikua na points 30+.
Msililize hapa Tigana Lukinja akilielezea kwa ufasaha tukio lile.
Mayele mliesema anatetema nilisema atatetemeka kwa hofu na mashaka na ndicho kilichotokea uwanjani.
Ni wazi sasa wachezaji wa Simba wamekata tamaa ya ubingwa baada ya tofauti ya alama dhidi yao na Yanga kuwa kubwa.
Julio siku zote huwa anaamini yeye ni bora kuliko hawa makocha wa kigeni wanaokuja kufanya kazi na hizi timu.
Baada ya suluhu katika dimba la Benjamin Mkapa, sasa vigogo hao watapaswa kuendelea na majukumu mengine.
Nini mtazamo wako kwa mwamuzi Ramadhani Kayoko aliechezesha mchezo huo, aliumudu mchezo inavyostahili?
Simba ni wazuri kwenye winga zao wana wachezaji wazuri ambao wakiwa mmoja dhidi ya mmoja na ndio maanaa hatukuwaacha kina Sakho na Morrison wakutane na hiyo situation.