Mtibwa na mchezo wao wa karata.
Kama ningeulizwa ya Mtibwa Sugar FC ilipaswa kuwa….Stori zaidi.
Kama ningeulizwa ya Mtibwa Sugar FC ilipaswa kuwa….Stori zaidi.
ni sugu na jasiri sana hana uwoga hata kidogo na ni mtu wa kujitoa mhanga na ni mpambanaji haswa.
Ligi kwa ujumla ilikuwa ngumu na yeye kusisimua licha ya bingwa kupatikana mapema lakini kiwango cha ushindani kilikuwa kikubwa hadi dakika ya mwisho.
Tayari Yanga ameshatangazwa bingwa wa msimu wa 2021/22…..Stori zaidi.
Binafsi hii ndiyo michezo mikubwa miwili ninayoiangalia kwa jicho la uoga kwa kuwa ina maamuzi na hatma ya timu. Fiston Mayele na George Mpole!?
George Mpole kutoka Geita anaelekea kuchukua kiatu cha….Stori zaidi.
Hii ni rekodi ya klabu ya Yanga kwa Msimu wa 2021/2022. Matokeo ya mechi zote na wafungaji wake.
igi Kuu Tanzania Bara imeshapata bingwa wake, Mabingwa mara 28 wa kombe hilo,Yanga SC. Zifuatazo ni mechi ambazo zinachezwa siku ya alhamisi kwaaajili ya kufunga Ligi Kuu.
Tuandikie jina lake na kwanini unadhani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu.
Shughuli ipo kwenye nafasi ya tatu na ya nne ambayo inawaniwa na Azam na wao Geita ya Minziro ili kuwa na uhakika wa kuwakilisha kimataifa.