Simba na Yanga nani anaongoza kuweka mpira kwapani.
Kwa taarifa tu ni kwamba baada ya pambano….Stori zaidi.
Kwa taarifa tu ni kwamba baada ya pambano….Stori zaidi.
Naaaam soka hushangaza, soka huduwaza mashabiki hususani matokeo yake. Yanga wanaweweseka.
Kuna usemi usemao ” Simba akikosa nyama hula….Stori zaidi.
Mchezo wa soka ni mchezo wa rekodi, pengine ndio mchezo wenye rekodi nyingi kuliko mchezo wowote ule ulimwenguni. Zipo rekodi zilizowekwa, zipo zinazowekwa na kuna ambazo zitakuja kuwekwa katika siku zijazo.
Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili….Stori zaidi.
hakuwahi kupoteza mchezo hata mmoja wa Ligi lakini kipigo cha mabao matano kutoka kwa Mtani kimemfanya kupoteza kibarua chake
Mara ngapi walimuona Shomari analia vile hadharani? Tena kilio cha kwikwi? Ni mara ngapi?
anaamini wanakwenda katika mchezo mzuri na anajua Afrika mzima inakwenda kutazama kandanda safi na la kuvitia.
Nae kocha mkuu wa Simba Robert Oliveira ambae ameifunga Yanga mara mbili mwaka huu amesema anajua ni mchezo mgumu