Kwa ushirikiano na Rais wa klabu hiyo Florentinop Perez, tayari wameshatenga Paundi millioni 300 zaidi ya shilingi bilioni 930 za kitanzania kwa ajili ya usajili mpya katika dirisha la usajili la kiangazi
Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi,….Stori zaidi.
Bale hakuwahi kuaminiwa hata pale alipoifungia timu yake mabao muhimu ya kuipeleka fainali na kuwafunga Liverpool.
Kocha mpya wa Real Madrid Zinedine Zidane amezima….Stori zaidi.
Real Madrid jana wamepata ushindi muhimu na ukifuta….Stori zaidi.
Mpaka sasa hivi hawana uhakika wa kuchukua kombe jingine baada ya wao kuchukua kombe la ligi ya mabingwa dunia.
Luis Garcia alichukua nafasi ya Javi Calleja tarehe 10 Disemba mwaka jana,
Akiwa katika ligi kuu nchini Uchina aliiwezesha klabu ya Shanghai SIPG kutwaa ubingwa msimu uliopita akifunga mabao 27 na pia kutwaa kiatu cha mfungaji bora.
Mghana huyo ni mzoefu na ligi hiyo. Alikiepo hapo akiwa na klabu ya Las Palmas.
Mkurugenzi wa klabu ya soka ya Real Madrid….Stori zaidi.