Mechi tano za kukupa hela weekend hii.
Kandanda inakupa utabiri wa mechi na sababu zake, kutana na Martin Kiyumbi,akikusaidia kupata hela leo.
Kandanda inakupa utabiri wa mechi na sababu zake, kutana na Martin Kiyumbi,akikusaidia kupata hela leo.
Amecheza michezo 54 kwenye timu ya Taifa ya Uholanzi akifunga mabao nane, pia aliwahi kuwa kwenye kikosi hicho kilichocheza mchezo wa fainali na Uhispania katika kombe la dunia mwaka 2010.
Mwisho wa makubaliano ni May 12 mwaka huu, huo ndio mpango A na Mpango B sisi hatuna Mpango C kuhusu hilo,
Man Utd yaanza usajili kuimairisha kikosi chake.
Baada ya kumtimua kocha wake Jose Mourinho, klabu yaManchester United imemtangaza rasmi mrithi wa mikoba ya mreno huyo Old Traford.
Muda wa mashabiki wa Chelsea kusema “kwaheri” kwa mshambuliaji wao matata na msumbufu, Mbelgiji Eden Hazard umewadia.
Klabu ya Chelsea imebaini vitendo vya ubaguzi , nauchunguzi zaidi unaendelea lakini kama vitabainika dhahiri vitendo hivyo kuwani vya ubaguzi wa rangi kama klabuitachukua hatua kali zikiwemo za kuwafuta uanachama na kuunga mkono sheria zakiserikali kuchukua mkondo wake juu ya suala hilo
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Liverpool ya….Stori zaidi.
LIVERPOOL vs FULHAM, LIVERPOOL KUSHINDA SABABU: Mechi tano….Stori zaidi.
Hapana shaka Manchester United ilikuwa alama halisi ya….Stori zaidi.