Idadi kubwa ya magoli ligi kuu Tanzania bara anayo yeye, yeye ndiye mfungaji bora wa muda wote, anagoli zaidi ya 100. Mchezaji aliyezifunga goli nyingi timu za Simba na Yanga rekodi pia anayo yeye. Ni mchezaji bora wa msimu uliopita. Na ni kepteni wa timu kubwa kama Simba. Bado unamchukulia poa tu?.
Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amesema….Stori zaidi.
Kocha Roy Hodgson atakuwa kocha mwenye umri mkubwa….Stori zaidi.
Kocha wa muda wa Manchester United Ole Gunnar….Stori zaidi.
Mwili ulioopolewa kutoka kwenye ndege umetambuliwa kuwa ni….Stori zaidi.
Mwili ulioonekana kwenye ndege iliyopata ajali siku chache….Stori zaidi.
Toka mwaka aliosajiliwa yaani 2013, Fellaini amekuwa si chaguo la mashabiki wa Manchester United licha ya makocha wote watatu David Moyes, Louis Van Gaal na Jose Mourihno wakimtumia katika mechi muhimu
Rekodi zinaonesha mara ya Mwisho kwa Manchester United kushinda dhidi ya Burnley ilikuwa ni mwaka 2015
Tayari ndege za uokozi tano, pamoja na boti mbele zimejielekeza kuitafuta ndege hiyo kuzunguka sehemu ambayo ilipoteza mawasiliano.
Zama zinabadilika maendeleo ya tabia nchi na teknolojia mpya zinagusa mifumo ya maisha yetu ya kila siku inashangaza kuona Mgambo bado zana yake ya ulinzi inabaki kuwa KIRUNGU.