Jamie Vardy avunja rekodi ya Drogba!
Ligi kuu ya England imemalizika leo kwa kushuhudia….Stori zaidi.
Ligi kuu ya England imemalizika leo kwa kushuhudia….Stori zaidi.
“Unaweza kusema kwamba timu imebadilika sana. Tunacheza kama timu kuliko vile tulivyofanya hapo awali
Michezo yote 92 iliyobaki itatangazwa moja kwa moja, na mechi nne kuonyeshwa na kituo cha BBC mara ya kwanza kufanywa kuwa bure kwanda hewani kwenye TV
Baada ya maambukizi ya corona iliyosababisha Ligi kusimama sasa nahodha Mbwana Samatta anarudi zake.
Dean alifanya uchaguzi mzuri zaidi ya miaka sasa na amekuwa na maendeleo mazuri, tunaangalia hilo suala ambapo atakuwa wapi msimu ujao.
Nyota huyo wa Tottenham Hotpurs Min Son alitakiwa kuhudhuria mafunzo ya kijeshi tangu mwaka jana.
Ozil ameweka wazi kuwa anaheshimu wachezaji wengine na uamuzi wa kikundi, lakini amewasihi wamuheshimu pia.
Katika ubabe wa Ole kwa Pep ni kwa kiasi kikubwa Martial ndio silaha kubwa ya Ole na kuweza kuufanya mji wa Manchester kua ni mwekundu na sio bluu.
Vilabu vya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), vitakutana Alhamisi hii katika kikao cha dharura kuhusu hatma ya mechi zilizobaki kuhusu msimu huu.
Hali imekua tofauti kwa timu ya Mtanzania Mbwana Samatta walau wao wameonja ushindi mara nyingi zaidi ya Arsenal ambapo wamepata ushindi mara 7 katika EPL.