Theo Walcott Atangaza Kustaafu Soka.
Walcott anastaafu kucheza Kandanda na kuhitimisha miaka yake 23 ya maisha yake ya kandanda England ambapo alicheza mechi 397 za Premier League.
Walcott anastaafu kucheza Kandanda na kuhitimisha miaka yake 23 ya maisha yake ya kandanda England ambapo alicheza mechi 397 za Premier League.
Vyanzo vya habari vilisema Greenwood anapinga kuhamia nje ya nchi na Man United wanasita kumtoa kwa mkopo kwa mpinzani wake wa Ligi Kuu.
Uchambuzi huu mfupi umetolewa katika ukurasa wa wapendasoka facebook. Unatazama ubora wa namna ya chezaji wa klabu ya Arsenal na udhaifu wake.
Gaucho mshindi wa Ballon’dor pia hakusita kutoa ushauri wa wapi anadhani Mo Salah anatakiwa kwenda huku akisisitiza furaha ni muhimu kwake katika mchezo wa soka.
Baada ya msimu ujao United atakuwa anatimiza miaka 10 tangu kutwaa ubingwa wake wa mwisho wakiwa na mstaafu Sir Alex Ferguson.
Sababu kubwa ya msingi kwa Spurs kuonekana ni’ mfalme’ katika mechi 8 zilizobaki kwa pande zote mbili ni ubora wao miongoni mwa timu bora
Wapwa: Kweli “zimwi likujualo halikuli likakwisha” kufuatia matokeo ya Premier league usiku wa jana inaashiria kitu.
Swali linakuja, Je Liverpool wataweza kuendelea kutesa timu nyingine kwa mfumo huu huu ndani ya mwaka wa nne sasa. Soma tupe maoni yako.
Wawili hawa walikutana Chelsea kama wachezaji lakini sasa Traore atakwenda kukutana na kocha msaidizi John Terry ambae anamfahamu vizuri.
Klabu ya Manchester United imezindua jezi zake za….Stori zaidi.