AFCON 2027: Tanzania Inajiandaa – Kandanda.co.tz Yaleta Maeneo Muhimu ya Mashindano!
Kupitia mtandao wa Kandanda.co.tz tunaamini ni nafasi nzuri ya kuelimisha na kuwahamasisha mashabiki wa kandanda na watalii kuhusu maandalizi ya AFCON 2027 ambayo ni fahari kubwa kwa Tanzania.