Laana ya kocha wa Benfica na kombe la Ulaya!
Benfica haitakuja kuchukua ubingwa wowote wa Ulaya mpaka ipite miaka 100.
Benfica haitakuja kuchukua ubingwa wowote wa Ulaya mpaka ipite miaka 100.
Zikiwa zimesalia dakika tano matokeo yakiwa ni 1-1 huku West Ham wakihitaji point tatu muhimu, wana London wengi hawakumuelewa Di Canio akiwepo kocha wake Harry Redknapp
Beckham akahamaki na kunyanyuka ili amzingue babu Fergie, lakini wachezaji wakamzuia asimchape mzee wa mabigijii.
Binafsi nililala na viatu kwenye dirisha la usajili la kiangazi la 2012. Sikuwahi kufikiria kwamba Robin Van Persie angeondoka Arsenal ghafla msimu ule,
Hata fainali nilikuwa na chama langu la Ufaransa huku safu ya ushambulizi ikiongozwa na mchezaji wangu bora wa muda wote Thierry Henry,
Chini ya kocha Frank Rijkaard mwisho wa Ronaldinho ndani ya Barcelona haukuwa mzuri. Taratibu alianza kukosa namba, fununu
Ukiacha utaalamu wake ndani ya dimba kisa cha namba ya jezi yake kimeendelea kukumbukwa zaidi hadi leo.
aliamua kumzawadia Fadiga kidani hicho ili kimletee bahati nzuri katika mechi atakazocheza.