Simba na Yanga nani anaongoza kuweka mpira kwapani.
Kwa taarifa tu ni kwamba baada ya pambano….Stori zaidi.
Kwa taarifa tu ni kwamba baada ya pambano….Stori zaidi.
Zinedine Zidane Yazid maarufu kama Zizzou alikuwa na kiwango bora kwenye michuano hiyo ya kombe la Dunia 2006
Magazeti ya Zambia yakiandika kuhusu mechi hiyo waliita kuwa “mechi ya matokeo mabaya kabisa kuwahi kutokea kwa Wanderers katika historia” na kwamba ni “Jambo kubwa kabisa katika sikukuu ya wajinga duniani
Yanga ambao wengi hawakuipa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa baada ya kuanza vibaya michuano hiyo kwa kuchapwa mabao 3-1 kwenye mchezo wao wa kwanza
Tuambie unaikimbuka kwa lipi Pamba hii ambayo ilikua mwiba katika miaka ya tisini haswa katika Dimba la CCM Kirumba pale Mwanza!?
AkiwaLeeds, Radebe alicheza katika nafasi ya golikipa mara kadhaa, kwenye mechi dhidi ya Middlesbrough Machi mwaka 1996
Wachezaji wa Zaire inasemekana hawakuwahi kulipwa na serikali na pia serikali iliacha kufadhili timu ya Taifa. Pia, hawakuruhusiwa kuondoka nchini na hii ilizuia matarajio yao ya kuhamia vilabu vya Ulaya
Ni nadra sana kwa mchezaji wa mpira kukubali makosa, atabisha tu!
Golikipa Oliver Kahn alipanda kwenda kushambulia, ilipopigwa kona aliruka juu na kuupiga mpira kwa mikono na ukatinga ndani ya nyavu
Naweza kusema angalau sasa zama zimebadilika kwa kiwango kikubwa, lakini zamani kidogo ukicheza na mwenyeji basi jiandae kupita njia ya mateso ya Golgotha