Ngassa alishafeli! Hizi ni sinema za soka letu
Hichi ndicho tusichokijua juu ya Mrisho Ngassa wa sasa na kubaki kujidanganya tu!
Hichi ndicho tusichokijua juu ya Mrisho Ngassa wa sasa na kubaki kujidanganya tu!
“TFF tumechanganyikiwa, yaani ni sawa na kuwa msibani halafu kuna mtu anakuja kukupora hata jamvi lile ulilolikalia”
Athuman Idd Chuji ni shujaa kweli kweli, Mwaka….Stori zaidi.
Nachokiamini ni mazoea yetu mabaya ambayo leo yanakuondoa, tumekuzoea kiasi kwamba tunakuona wewe sio hatari tena, dah! Namsubiria huyo mshambuliaji wao mpya