Ikiwa ni hatua ya 16 bora ya mashindano ya klabu bingwabarani Ulaya, tukishuhudia vilabu vyaAjax, Atletico, Barcelona, Bayern Munich, Dortimond, Juventus, Liverpool naLyon zikifuzu kwa kuongoza katika makundi yao huku Man City, Man U, PSG, Porto, Real Madrid,Roma, Schalke na Tottenham nazo zikiungana katika hatua hii zikiwa katikanafasi ya pili.
Tanzania inatarajia kupokea ugeni wa wajumbe wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kwa ajili ya kukagua miundo mbinu pamoja na kupanga makundi ya michuano Mataifa Afrika chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika mwakani hapa nchini.
Kocha wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) Oscar Mirambo ameushukuru Uongozi wa vyama vya soka ukanda wa Kusini kwa Afrika (COSAFA) kwa kuwaalika kushiriki mashindano ya Vijana ambayo Leo yanaingia hatua ya nusu fainali.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka barani ulaya bila shaka,utakuwa unaijua Barcelona, klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa barani ulayana duniani kwa ujumla.
Klabu ya soka ya Azam imewapa mapumziko wachezaji….Stori zaidi.
Shirikisho la soka nchini TFF limekanusha Taarifa ya ubadhirifu wa fedha takribani shilingi Milioni 300 zilizochapishwa na gazeti moja hapa nchini.
Mlinda Mlango wa timu ya soka ya AC….Stori zaidi.
Klabu ya Chelsea imesema itapitia tena video inaonesha….Stori zaidi.
Mshambuliajiwa timu ya soka ya Barcelona Lionel Messi….Stori zaidi.
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa….Stori zaidi.