Mwinyi Zahera ana U-Mourinho!
Hapa ndipo alipofanikiwa, aliweka sumu kali sana. Sumu ambayo iliwafanya wachezaji wawe na uwezo wa kupigana sana.Leo hii vizazi vinaikumbuka Fc Porto ya Jose Mourinho. Timu ambayo ilikuwa haitazamwi kwa kiasi kikubwa.

Okwi amekuwa msaada mkubwa kwa klabu ya Simba na soka la Tanzania wakati wote akicheza hapa.
pia amewahi kuichezea Leeds ya nchini Uingereza mwaka 1994 na 1996 akifunga mabao matano,
Je ni dalili ya viongozi na wajumbe wengine kuanza kurudi?
Tafiti za mwaka 1991 zinaonyesha kuwa mashabiki wengi wa soka hupenda kuzipa timu ndogo matumaini ya kupata ushindi ili kujihakikishia furaha katika mioyo yao.
Kuna vingi vya kukumbuka sana kwenye dunia yetu hii ya mpira. Dunia ambayo haijawahi hata siku moja kupata mwanga.
Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya….Stori zaidi.
Wakati natazama mechi ya mwisho ya Cesc Fabregas akiwa na uzi wa Chelsea kitu cha mwisho kuja katika akili yangu ni sura ya Haruna Niyonzima.
Hello. Kheri ya mwaka mpya rafiki yangu. Nimekukumbuka sana , nimekumbuka vingi ambavyo tulikuwa tunazungumza
Hawa waliwahi kuwa mhimili wa timu ya Simba, ndiyo hawa ambao walihakikisha timu inafunga na timu inatengeneza nafasi nyingi za magoli.