Tumejifunza, na huu ndio utaratibu sasa.

Binadamu anajifunza wakati wote kutokana na makosa au kwa uhitaji wa jambo fulani, na mara zote lengo la mtu kukwambia ukweli hata kama unauma ina maana kuwa ubadilike au uboreshe au upunguze, lengo likiwa ni moja tu kukufanya uinuke tena.

TFF, japo ni chungu, mezeni tu.

Kipindi hiki kila nchi barani Afrika, Asia, America na Ulaya kote nyasi zinapambana na mikimikiki ya mashindano ya ligi mbalimbali, mashindano ya vilabu bingwa na mechi za kimataifa kila timu fikra, mawazo, mbinu mbadala za uchezaji na za kiutendaji zinafikiria wanafanyaje kufikia malengo yao makuu.

Stori zaidi