kwa dunia ni ya 91, na kwa Misri ni ya kwanza pia. AS Club Vita kwa Afrika ni ya 5, kwa kongo ni ya 2 na duniani ni ya 176. JS Saoura ni ya 53 kwa Afrika, ni ya 4 kwa Algeria na ni ya 644 kwa dunia. Wakati Simba ni ya 326 kwa Afrika, ya 1 kwa Tanzania na ni ya 1817 kwa dunia.
Rais wa Shirikisho la soka Barani Ulaya (UEFA)….Stori zaidi.
Mapinduzi siku zote huja baada ya damu kumwagika. Matokeo mabovu wanayoyapata Simba kwa sasa ni hatua ya wao kufikia mapinduzi ya kweli ya mpira, naamini kuna funzo kubwa wanapata kupitia haya mashindano.
Mkutano unaendelea Jijini Arusha, tunakuletea dondoo muhimu kutoka huko pamoja na maoni yetu.
Shungu ni kocha msaidizi wa AS Club Vita pia alishawahi kuifundisha Yanga SC miaka ya 99 anasema kuwa, Simba ni timu nzuri lakini wanacheza mpira laini “Soft Football
Mtaani kuna picha yako inasambaa sana. Picha ambayo….Stori zaidi.
kula viporo vyake vitatu, dhidi ya Mwadui, Azam na Lipuli na lolote linaweza likatokea, kwa jinsi ligi ilivyo ni sawa na familia ya Kambare, mtoto ndevu na baba ndevu, wote wababe.
Adam Salamba ni ndio mshambuliaji mwenye umri mdogo katika safu ya ushambuliaji ya Simba sc.
Yanga haimuhitaji sana Hajji Manara.
Mchezo huo ulitawaliwa na ubabe huku wachezaji wakichezeana faulo mara kwa mara.