Kocha Ujerumani awapiga chini nyota wa timu ya Taifa
Nyota wote hao wanaitumikia klabu kubwa na kongwe nchini Ujerumani ya Fc Bayern Munich.
Nyota wote hao wanaitumikia klabu kubwa na kongwe nchini Ujerumani ya Fc Bayern Munich.
“lakini kikubwa niseme kuwa kwamba, Mimi napenda waamuzi wawe wanaangalia, tumenyima takribani penalti tatu”.
Pengine kufanya vizuri kwa Mbwana Samata akiwa Krc Genk kumefungua njia kwa vijana wetu:
Ugumu wa mechi ya Simba vs As Club Vita utachagizwa na matokeo ya mechi za awali yaani Simba dhidi ya JS Saoura na AS Vita dhidi ya Al ahly. Jumla AS Club Vita wanaweza kupata alama 1-3 katika michezo yake miwili iliyosalia na mwisho wa siku kuwa na jumla ya alama 5-7.
Kuna mengi ya kujifunza lakini mwisho wa siku hakuna anayetamani kujifunza, tunatamani kujifunza namna ya kupanda ligi kuu ya Simba na Yanga.
Kwa mfano kukawa na kampeni ya kujenga Taifa Stars imara ijayo. Ni ukweli ulio wazi kuwa Taifa Stars ijayo imara itapatikana kwa kujenga kizazi imara.
Klabu ya soka ya Nantes ya nchini Ufaransa….Stori zaidi.
Inaaminika kuwa timu ya Taifa ya India, ilijiondoa kucheza kombe la Dunia mwaka 1950 baada ya kuambiwa wanatakiwa wasicheze peku.
“Thierry Henry ana sifa zote za kuwa kocha….Stori zaidi.
Tumkumbuke kupitia hospitali ya kimataifa ya Dodoma, tumkumbuke kupitia barabara na pia tumkumbuke kuwa ndiye aliyejenga huu uwanja lakini tuvae miwani ya kibiashara.