Klabu za EPL ndio wababe wa Ulaya
Mara ya mwisho nchi hiyo kufanya hivyo ni mwanzoni mwa miaka ya 1970.
Mara ya mwisho nchi hiyo kufanya hivyo ni mwanzoni mwa miaka ya 1970.
Lacazette ambaye ameionyesha kiwango poa akiwa na Arsenal mimu huu tayari ameshaweka kambani magoli 14.
#Tukujuze Simba Sc hajapoteza mchezo wowote katika Uwanja wa Taifa katika Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu, na matokeo mabaya ni sare ya ya 0-0 dhidi ya Lipuli Fc.
Ni barua ambayo imesambaa sana duniani kote !, siyo kwa nia mbaya, ni kwa nia nzuri.
Mechi ambazo huonekana ni ngumu na kuna ulazima wa timu kushinda. Mechi ambazo zinahitaji kila mchezaji kuonesha ƙkuwa bado mechi haijaisha.
Mwaka 2018, Ronaldo ndiye aliyekuwa binadamu mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Instagram. Alikuwa na followers 144,482,390. Hivi mchezaji mwenye mashabiki wengi hivi unadhani ni ngumu kupata
Mshambuliaji wa Burnley inayoshiriki ligi kuu England Peter….Stori zaidi.
Je tutegemee kikosi cha mwalimu Amunike kitakua na sura mpya? Tutegemee ujumuisho wa kinara wa mabao wa TPL kutoka Mwadui, Salimu Aiyee mwenye mabao 14? Au Ibrahim Ajib nahodha wa Yanga?. Tupe maoni yako.
Angalizo: Makala ina vionjo ambavyo ni vya shabiki wa lialia wa Manchester United, akijaribu kuangalia matokeo ya Ole Gunnar na timu yao ya Man Utd.
Kati ya mikataba ya ajabu iliyowahi kutokea kwenye….Stori zaidi.