Pamoja AFCON 2027
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)….Stori zaidi.
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)….Stori zaidi.
ni juu zaidi kulinganisha na sisi pia wana wachezaji wengi sana ambao wanacheza Ligi kubwa Afrika na nje ya bara hili.
Je unadhani kwa miji hii teuliwa, mji gani unafaa kupata hadhi ya mchezo wa Fainali za AFCON 2027? Vote Now.
Baada ya Miaka 51 Kombe la Mataifa ya Afrika linarudi tena katika ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kufanyika nchini Ethiopia.
Mada kuhusu kupeperusha bendera yetu pale Ivory Coast ndio imeanzia hapa na sisi tunasimama nayo.
Ndio ni hii Taifa Stars ambayo tulicheza AFCON 2019 baada ya kushinda mchezo wetu dhidi ya Uganda ndani ya Mkapa Stadium leo kwanini isiwezekane?
Stars watashuka dimbani nchini Algeria kusaka alama moja tu ambayo itawafanya kufuzu katika kundi hilo sambamba na Algeria na kuwaacha Uganda na Niger
Mwamba wa Lusaka alikuwa akizungumza kwenye Facebook moja kwa moja “live”. Mchezaji huyo wa Simba SC
Mwisho tutasema Am Sorry and Thank You Uganda. Ni ngumu lakini inawezekana. Let’s go Taifa Stars.
Mchezo wa mwisho wa kufuzu Afcon utapigwa baadae September na hivyo kuamua hatma ya Watanzania kushiriki Afcon kwa mara ya tatu