- Safari ya Yanga, Mikononi mwa Dube
- Simba na Yanga nani anaongoza kuweka mpira kwapani.
- Yanga Waweweseka! Gamondi Nje!
- Fadlu Tunaamini anawapa Ubingwa Wekundu
- Manuel Neuer ana umri sawa na uchambuzi wa soka kwa kompyuta
Baada ya jana Simba Sc kutangaza kumuongezea mkataba John Bocco, leo hii itatangaza mchezaji mwingine tena waliomsajili.
Akizungumza na mtandao huu mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Bwana Magori amedai kuwa leo kutakuwepo na tangazo jipya la mchezaji.
” Watu wakae kwenye mitandao ya kijamii kuna mwingine atatangazwa leo”- alidai Magori