Sambaza....

Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC.

Ikumbukwe katika mchezo uliopita klabu ya Simba ilitandikwa bao 5-1, na sasa ikiwa kama mwenyeji mambo yatakuwaje?

Matokeo

TimuKipindi cha KwanzaKipindi cha PiliMagoli
Yanga SC202
Simba SC011

Mtandao wako wa kandanda.co.tz unawapa nafasi mashabiki wake watatu ambao watatabiri kikosi au matokeo wakati wa mchecho huu, kuibuka na jezi ya Timu yake  (Yanga au Simba) na Zawadi nyingine kibao kutoka kwetu.

Anza Sasa


Sambaza....