Ni Vita Nyingine ya Rekodi Leo.
Ni miaka minne imepita sasa Azam Fc wamefanikiwa tena kutinga fainali akionekana mwenye uchu na njaa ya kombe hilo
Ni miaka minne imepita sasa Azam Fc wamefanikiwa tena kutinga fainali akionekana mwenye uchu na njaa ya kombe hilo
Soka la Ulaya pengine ndio soka liliofanikiwa zaidi ulimwenguni kwani hupokea wachezaji kutoka karibia mataifa yote ulimwenguni, vilabu vimekua na utaratibu mzuri wa kuendelea kuwa karibu na wachezaji wao
Nawaheshimu Prisons lakini sina hofu kwasabu timu ni zile zile ambazo tunazifahamu, na mimi nazifahamu vizuri timu za Tanzania
Nini kiko nyuma ya hili? Kipi kifanyike kutatua hili? Shabiki anaweza kujiuliza maswali haya pengine akakosa majibu lakini kuna mambo mengi.
Tutazimia uwanjani, tutalala uwanjani, ilimradi tuhakikishe Manispaa ya Kinondoni inaendelea kuwepo kwenye ramani ya Ligi kuu msimu unaokuja, asanteni
Basi TFF wapitie upya miswada ya kozi za marefa ili tupate waamuzi bora ambao wamefuzu kikamilifu katika kusimamia na kufasiri sheria za soka.
Nimekukosea nisamehe Rais aliniomba na mimi nikamwambia sawa nimekusamehe lakini naomba niache nikatafute maisha yangu
TFF na maafisa wake wafanye matembezi na ukaguzi wa mara kwa mara viwanjani kuepuka ukiukwaji wa kimaagizo ya marekebisho wanapoyatoa kwa wamiliki wa viwanja.
Shabiki ni mtu anayependa kitu au jambo na kulifuatilia na Soka ndo mchezo pendwa zaidi ulimwenguni hivyo una mashabiki na wafuatiliaji wengi.