Jinsi Kibegi cha Simba Kilivyoleta Maajabu.
kibegi cha Simba kuelekea kilele cha mlima Kilimanjaro ndio hamasa kubwa ya utalii kuwahi kufanyika nchini.
kibegi cha Simba kuelekea kilele cha mlima Kilimanjaro ndio hamasa kubwa ya utalii kuwahi kufanyika nchini.
Je Wajua? Hat-Trick ya Kwanza ya Haraka Zaidi.
Simba wameweka Kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya kimafaifa, nini sababu kuu ya kutoka nje ya nchi mara kwa mara.
Wageni popote pale duniani wamekuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuonyesha walichonacho kutoka kwao pengine ni sababu hatuwajui vema
Kufeli kwa baadhi ya sajili katika ligi yetu sio la Tanzania pekee kwani wapo baadhi ya wachezaji wakubwa husajiliwa na kushindwa kufanya vizuri
limeingia makubaliano na mabenki pamoja na mashirika kuhakikisha wachezaji wote wanaocheza ligi nchini Cameroon wanapatiwa Bima za afya hususani wazawa
Matarajio ya kila shabiki na mpenzi wa Simba ni kuona timu yao inarudi katika anga za ushindani na kufanya vizuri
Kocha ndiye nahodha wa timu kuondoka kwa kocha Nabi yanga ni kama itauyumbisha mradi kama mambo yafuatayo hayatafanywa kikamilifu;
Mwisho tutasema Am Sorry and Thank You Uganda. Ni ngumu lakini inawezekana. Let’s go Taifa Stars.
Hivyo bodi ya ligi na shirikisho watangaze dhabuni ili tupate wadhamini wa tuzo katika ligi yetu