Mchezaji wa zamani wa AC Milan na Liberia George Weah ndio mchezaji pekee kutoka Afrika kuwahi kunyakua tuzo ya Ballon d’or. Weah ambae kwasasa ni Rais wa Liberia alitwaa tuzo hiyo mwaka 1995, mpaka sasa hakuna Mwafrika yoyote hata aliyekaribia kutwaa tuzo hiyo kubwa duniani kwa upande wa Kandanda.
Fauka na hayo hofu yangu ni moja, je Azam wataiweza vita ya nje ya uwanja? Azam hawako vizuri
Mshambuliaji Samwel Etoo wa Cameroon na kiungo Yaya….Stori zaidi.
Mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu….Stori zaidi.
Simon Mignolet, kipa wa zamani wa Liverpool anazungumza….Stori zaidi.
Kadi thelathini na sita (36) nyekundu zilitolewa katika….Stori zaidi.
Gwiji wa Arsenal, Denis Bergkamp alizikosa mechi za….Stori zaidi.
Miguel Gamondi amebeba siri nzito, Gamondi amebeba ndoto za kutisha za Wananchi, Gamond anakibarua kizito cha kutafsiri ndoto hizo za kuogofya.
Unajua mchezaji anenda umbali gani akiwq uwanjani?
Je Wajua, Golikipa mwenye Magoli Mengi zaidi