Saa02:00Asb: Dakika Nyingi Bila Kuruhusu Goli
Rekodi hii inasimama mpaka leo na ikiwa ni miongoni mwa rekodi ngumu zaidi kuzivunja na walinda mlango wasasa.
Rekodi hii inasimama mpaka leo na ikiwa ni miongoni mwa rekodi ngumu zaidi kuzivunja na walinda mlango wasasa.
Tumeona na kushuhudia vilabu vikisaini mikataba mikubwa, mirefu na minono, hii ni ishara ya kukukua
Tuzo ya Ballon D’o ndio tuzo ya heshima na ya juu zaidi kwa wachezaji wa Kandanda, huyolewa kila mwaka kwa mchezaji bora wa Dunia.
Samweli Etoo ambae ndie Rais wasasa wa shirikisho la soka Cameroon alitwaa vikombe vingi
Zambia “Chipolopolo” ndio makazi yake na historia ilipoandikwa
Ungana nami hapa katika simulizi hii fupi walai upate kuufahamu uwanja huu kutoka kwa Madiba.
Mchezaji wa zamani wa “Black Stars” Ghana, Asamoah Gyan anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji mwenye magoli mengi
Mwingine atajiuliza kivipi ilihali tunaona yamefana kwelikweli? Basi nikutoe shaka Kandanda.co.tz iko hapa kukutoa wasiwasi huo;
Morroco ilifanya hivyo katika fainali za kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar ambapo Argentina waliibuka mabingwa
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon Roger Milla anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi goli katika michezo ya fainali ya kombe la Dunia