Kwani Mechi Nyepesi Hazina Faida?
Hiki hua ni kipindi ambacho ligi zimesimama na wachezaji wachache teuliwa hujiunga na timu zao za Taifa na kuwaacha wengine vilabuni
Hiki hua ni kipindi ambacho ligi zimesimama na wachezaji wachache teuliwa hujiunga na timu zao za Taifa na kuwaacha wengine vilabuni
licha ya kufunga magoli mengi hakuwahi kushangilia hata moja ya magoli yake kwa kuteleza uwanjani na magoti.
Iwe michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya ama Ligi ya Ufaransa (League 1) wao hucheza mida ya usiku tuu.
Kwasasa Liverpool toka 2018 yupo katika kiwango bora na kilele chake wakati Manchester United wao bado wanajitafuta
Amevichezea vilabu kama vile Maerica (2004-2011), Ajaccio (2011-2014), Malaga (22014-2017), Granada (2016-2017)
Mara zote huonekana wakiwa wamevalia jezi za mikono mirefu
Iwe ugenini ama nyumbani Nyambizi huwa wanavaa jezi za njano
WWW.KANDANDA.CO.TZ iko hapa kujibu na kukutoa mashaka yote uliyonayo, kikubwa endelea kuwa nasi
alifunga magoli hayo akiwa anazitumikia Santos Fc, New York Cosmos na timu ya Taifa ya Brazil.
Mwaka 2012 alifunga jumla ya mabao 91 akiwa katika klabu yake na timu ya Taifa