Simba Sc Taifa Kubwa! Wa Kimataifa.
Tumeamua kulipokea soka na uwekezaji ni mkubwa huku sasa unalipa.
Tumeamua kulipokea soka na uwekezaji ni mkubwa huku sasa unalipa.
Je unadhani kwa miji hii teuliwa, mji gani unafaa kupata hadhi ya mchezo wa Fainali za AFCON 2027? Vote Now.
Baada ya Miaka 51 Kombe la Mataifa ya Afrika linarudi tena katika ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kufanyika nchini Ethiopia.
Simba walipambana sana kuhakikisha wanaupata ushindi ugenini, wakaishia….Stori zaidi.
Simba akiwa katika uwanja wa nyumbani huwa tofauti sana kwani timu vigogo wa Afrika walipigika
Uwepo wa mashabiki wa timu zetu kutawanyima uhuru mkubwa mashabiki wenyeji kufanya fitina nyingi
Katika mwaka huo huo walichukua ubingwa kwa umbali wa alama 19 toka mshindi wa pili,
walikusanya alama 97 lakini hawakua mabingwa
wanashikilia rekodi ya kucheza michezo 49
Hii ni rekodi yakipekee kabisa