Huyu Morrison ndio Morrison mwenyewe sasa.
Wapwa : Waswahili wanao msemo wao kufa kufaana….Stori zaidi.
Wapwa : Waswahili wanao msemo wao kufa kufaana….Stori zaidi.
Kama umepata kuusikia uwanja maarufu Santiago Bernabeu “machinjioni” hukujua kwanini unaitwa hivyo basi nikupe sababu
Nafahamu siku zote picha moja ina tafsiri rasmi….Stori zaidi.
Moto wa Mayele na Phiri upo juu katika kufumania nyavu. Tigana anawatazama wawili hawa mmojawao kuibuka kinara wa magoli ligi kuu NBC.
Mwalimu anaweza kuongea lake nje ya uwanja, lakini mapokeo ni muhimu ndani ya uwanja.
Klabu ya Ihefu ilimtangaza Mwambusi, moja ya walimu wazoefu wa mpira wa miguu Tanzania. Ihefu imefanya maamuzi sahihi.
Mshabiki kubisha, mchezaji kufanya vituko kadha wa kadha. Ni kote, haya Inonga kafanyaje? Angalia Ulaya hii.
Hii inaweza kuwa ‘ Like father like Son’ bora zaidi katika maisha ya soka kuwahi kutokea Dunia.
Timu mbalimbali Duniani kuelekea kombe la Dunia 2022 Qatar wameanza kutambulisha jezi watakazotumia.
Wapwa, Binafsi sishangai Henock Inonga kuitwa kwenye timu yake ya Taifa kwa kuwa amewahi kuitwa.