Bado Yanga Inahitaji Ufufuo wa Aziz Ki Iwe Bora Zaidi.
Narudia tena! Endapo miguu yake itatoa kitu bora kama kama ilivyokuwa matarajio ya wengi basi naiona Young Africans bora kupitia miguu yake!
Narudia tena! Endapo miguu yake itatoa kitu bora kama kama ilivyokuwa matarajio ya wengi basi naiona Young Africans bora kupitia miguu yake!
kumuonesha mwalimu miye nastahili kuanza kikosi cha kwanza mwishoe akashindwa kufanya vyema kabisa.
Nasser Al-Khelaifi muda huu lazima akubali kwenda bila haya majina makubwa sababu huenda yanachelewesha sana mipango yao
Kuhusu kujaza uwanja kwao sio shida zao sababu ni jambo rahisi sana kwa Simba na Tamasha lao
Hii ni kubwa sana na itazidi kuwa kubwa zaidi kama wataendelea kufanya hiki ambacho wanafanya ndani ya klabu yao
Kwa sasa sidhani kama Simba inamuhitaji sana Victorian Adebayor kama ambavyo yeye anaihitaji, ndio maisha
Rahisi! Kilichobaki sasa ni kocha kutengeneza timu imara zaidi kupitia wachezaji waliopo na waliosajiliwa
Ni ngumu sana kuzungumza kuhusu Young Africans wakati ule pasipo Yanick Bangala lakini sasa imekuwa hivyo
Hii ilikuwa lazima ifanyike tena kwa uharaka mkubwa. Ally Salim na Feruz ilikuwa karata ngumu sana kwa Simba SC kuicheza kuelekea Msimu mpya wa mashindano.
Kwa usajili wa ndani kuna quality gani iliyo nje ya Simba na Yanga kwa fullback inayomzidi Kibabage ?!. Hakuna