Mtihani Wa Yanga Leo Kutoka kwa Watoto wa Mjini.
Hivyo basi mechi haitakuwa nyepesi au ya upande moja licha ya ukweli kuwa Yanga ni bora kuliko KMC.
Hivyo basi mechi haitakuwa nyepesi au ya upande moja licha ya ukweli kuwa Yanga ni bora kuliko KMC.
Ataonekana pia kwenye eneo la mwisho kwenye kitu cha muhimu zaidi kwenye soka ambacho ni kutupia kambani
Hivyo ni wakati wa Konkoni kutengeneza kujiamini na kutuaminisha wadau wa mpira kuna kitu amekihifadhi miguu
Mojawapo mashaka kwenye uwezo wake vijiwe vyetu vya ‘gahawa ‘ vina maswali lukuki kwanini atoke kule
Hii haiji kibahati mbaya’ performance’ yake ndiyo siri ya hili jambo kama ambavyo kinyume
Huu ndio ubora ambao Simba SC walihitaji kwenye eneo la kiungo na ubora wenyewe ndio Fabrice Ngoma
Sasa tunamuona Ibrahim Bacca mbele ya Young Africans bora kama ilivyo timu bora kwenye miguu yake.
nitamsubiri kwenye mechi nyingine kisha nitakuja na maoni ya ujumla.
Young Africans ina wachezaji wageni wenye ubora katika eneo hilo lakini bado naamini kutokana na uwezo wa Clement Mzize
Rahisi! Ngao ya Jamii siku ya kesho dhidi ya Young Africans naona Ally Salim akipata nafasi golini.