Majimaji ya Songea na kisa cha zimwi likujualo.
Majimaji ilipokwama jijink Dar baada ya changamoto za usafiri. Tigana anaingazia timu hii
Majimaji ilipokwama jijink Dar baada ya changamoto za usafiri. Tigana anaingazia timu hii
Wanamuita Henoc Inonga Baka, mtu hatari sana ila ana mapungufu mengi sana.
Wekundu wa msimbazi wana’ Lunyasi’ leo watakuwa ugenini kupeperusha bendera ya nchi kama ilivyo kawaida yao
Panapo majaliwa tunakwenda kuangalia moja ya mchezo mgumu katika ratiba ya ligi kuu ya NBC kwa upande wa Wananchi.
Kocha mkuu wa Taifa Stars ametaja kikosi chake cha Tanzania na huu ni mtazamo wa Tigana Lukinja.
Wapwa: Kweli “zimwi likujualo halikuli likakwisha” kufuatia matokeo ya Premier league usiku wa jana inaashiria kitu.
Wengi watajiuliza nini maana yangu juu ya hao wachezaji waliocheza Simba kwa vipindi viwili tofauti kila moja akikonga nafsi za mashabiki wa Wanamsimbazi na wasio wa club hiyo.
Leo tunasubiri kuona mechi ya kombe la shirikisho la CAF kati ya wenyeji Simba vs RS Berkane Estadio De Mkapa.
Kiatu cha Bahati, hiki ni cha Mario. Umewahi kisikia?
Unafahamu kuwa wachezaji zaidi ya 75% duniani wanaamini katika’ kiatu cha bahati’?