Wajue AS VITA CLUB kiundani zaidi.

Katika mshindano ya Afrika, Club Vita ilishawahi kuwa bingwa wa Klabu bingwa Afrika mara moja mwaka 1973, na mwaka huu imefika fainali katika mashindano ya shirikisho Afrika. Na katika mashindano ya Afrika Mashariki “Kagame Cup” ilishawahi kushika nafasi ya 3 mwaka 2012.

Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool. “Salah Out”

Hizi ni habari mbaya, si nzuri hata kidogo kwa mashabiki na klabu ya Liverpool kwa ujumla, hii ni baada ya kinara wa ufungaji katika klabu hiyo Mohamed Salah kuzawadiwa mkwaju wa penati baada ya kumdanganya muamuzi katika mchezo wa ligi uliochezwa jana dhidi ya New Castle United ya Rafa Benetiz.

Stori zaidi