Simba Mna Uhakika na Wachezaji Wazawa Mnaotaka Kuwaacha na Kuwasajili?
Soka letu halina tena mchezaji wa kizawa anayeweza kuingia kikosi ya kwanza cha Simba na Yanga moja kwa moja kwa hawa wanaocheza NBC Premium League.
Soka letu halina tena mchezaji wa kizawa anayeweza kuingia kikosi ya kwanza cha Simba na Yanga moja kwa moja kwa hawa wanaocheza NBC Premium League.
Zamani tulikuwa na kundi dogo la wachezaji wanaocheza nje. Hawakuwa wanafika hata watano, lakini hivi sasa tunaweza kuita wachezaji 17 wanaocheza nje bila kujumuisha wachezaji wa ndani.
Wengi tunawahukumu Rivers kwa tulivyowaona mara ya mwisho walivyocheza na Yanga. Kisha tunapima kuimarika kwa Yanga. Tukitoka hapo moja kwa moja tunaona Rivers kashatolewa na Yanga kasonga mbele
Fuatlia simulizi za Mkeyenge zinazohusu mzee maarufu shabiki wa Simba Sc.
Ajib hajui mpira? Hapana. Kuna timu haitamani kipaji cha Ajib? Hapana. Katika ubora wake kuna timu katika ligi yetu Ajib anaweza kukaa benchi?
Matokeo fair kwa kila timu kwa jinsi zilivyocheza, japo mapungufu ya kiamuzi yameufanya mchezo umalizike kwa sare.
kama timu zetu zitaendelea kuwakimbilia wachezaji walioachwa Chief, Pirates, Mazembe tujue wazi tuna safari ndefu kufika ziliko TP Mazembe, Al Ahly na wababe wengine.
Msimu huu yuko hovyo kiasi, makali yake yamepungua, lakini kuna sababu tatu zinazofanya tumuone Kagere wa namna hii.
UNCLE Mrisho Ngassa siku hizi anashinda mitandaoni kulalamika kuhusu madeni yake na Yanga. Analalamika sana mpaka anatia huruma.
Umeugundua mchango na umuhimu wa Mzamiru katika kikosi cha Simba? Mkeyenge anaangazia pia.