Simba na Yanga Hawana Ubavu Wakumsajili Msuva
Utakuwa usajili ghali tangu nchi yetu ipate Uhuru. Lakini nisijidanganye, siioni timu ya kufanya maajabu haya
Utakuwa usajili ghali tangu nchi yetu ipate Uhuru. Lakini nisijidanganye, siioni timu ya kufanya maajabu haya
Hii ni faida kwa soka letu. Kibiashara hapa tunaweza kupata wawekezaji wengine kutokea Kaskazini.
Sjui nini kitokee ili Bangala awe sehemu ya Yanga SC msimu ujao. Klabu za mpira zinaendeshwa Kibepari, sio kijamaa.
Ni ngumu kushinda kikombe ukiwa hauna kipa imara anayeweza kukupa pointi 15 yeye binafsi katika msimu mmoja.
Nitakupa mikasa ya huyu mzee (Babu yake na Jonas) Mzee Masharubu ni Simba kweli kweli. Kuna mambo mawili yametokea Mzee Masharubu akiwa amelala zake kaburini
Post ya MO ni post iliyokwenda kuvirudisha vitu nyuma baadhi ya vkwa kiasi. Inavunja watu moyo.
Hassan Dilunga alijiunga na Simba katika msimu wa 2018/2019 akitokea Mtibwa Sugar alikofanya vyema.
Wengi hujikuta katika mazingira magumu na kuamua kurudi walikotoka. Ni wachache waliotoboa
Zamani timu zetu zikienda kucheza na timu za Kaskazini kuanzia AirPort, mitaani hadi hotelini timu inaonyeshwa ishara ya kufungwa 5 na kiwanjani kweli tulikuwa tunafungwa Idadi ya mabao hiyo
Natamani kuona mwisho wa Feisal na Yanga utakavyokuwa. Mpaka sasa inaonyesha hautakuwa mwisho mwepesi mwepesi, lakini usiwaamini sana wachezaji.