Fact na Dhana Tofauti Mpira wa Aziz Ki
Kutoka kwenye Sanduku langu la Maoni mpira ule haukuvuka mstari wa Goli na ndio maana leo hii kumetokea pande mbili zinazokinzana kuhusu kama lile lilikuwa goli halali ama la!
Kutoka kwenye Sanduku langu la Maoni mpira ule haukuvuka mstari wa Goli na ndio maana leo hii kumetokea pande mbili zinazokinzana kuhusu kama lile lilikuwa goli halali ama la!
Nawaambia hii Selemani Matola ni Muajiriwa wa Simba Sponga Waajiriwa Wote wana namna yao ya Kuingia na Kutoka katika Ajira zao!
CAF wanatakiwa watoe adhabu kwenye haya Mambo kama inavyofanya TFF
Hawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine
“Taifa hili linahitaji Msaada mkubwa sana kwenye Mpira wa Miguu! Niseme tu sisi kama Sponga tumebeba Dhamana kubwa sana kulikomboa hili Taifa”
Madam CEO toka sasa kwenye Box lako la U Director maana wakati ni huu na SISI WASWAHILI TUNASEMA USIPOUANIKA UTAULA MBICHI
Hii ni sehemu ya mwisho wa mfululizo wa makala hii, ikifunga kwa ushauri mzuri.
Kuna nchi Ligi zao zimejaza wachezaji wa kigeni, lakini bado zinafanya vizuri katika mechi za timu ya Taifa.
Biashara ya mpira ni biashara tofauti na biashara nyingine sababu hii inataka upate matokeo uwanjani, kama unapata matokeo ya ushindi basi unaonekana unapata faida na si vinginevyo.
Wajerumani na Waingereza nao iliwabidi wajifunze kuhusu jinsi ya kuwekeza na kujenga soka lao. Wakiangazia kombe la Dunia lijalo.