Vita za kuvutia katika mchezo wa Derby.
Kuelekea mchezo huo tunakuletea wachezaji wanaotarajiwa kuanza na kukutana na upinzani wa hali ya juu siku ya mchezo huo. Miongoni mwa vita hizo ni hizi hapa:
Kuelekea mchezo huo tunakuletea wachezaji wanaotarajiwa kuanza na kukutana na upinzani wa hali ya juu siku ya mchezo huo. Miongoni mwa vita hizo ni hizi hapa:
Huku wengi wao wakiwa ni waamuzi wazoefu wakiwa wameshashiriki katika kuchezesha michezo hiyo ya Simba na Yanga.
Utamu wote huo ukahitimishwa na magoli saafi ya Erasto Nyoni, Deo Kanda na Meddie Kagere
Mchezo huo utatupa majibu ni nani atakaekua mbabe zaidi ya mwenzake katika ufundi na kuisaidia timu yake kutoka katika eneo la katikati ya uwanja.
Jerry Murro pia ameuelezea uwezo wa Mkwasa huku akiamini katika mbinu za mzawa huyo
Mpaka sasa Kroose anaitumikia Real Madrid chini ya Zinedine Zidane huku akiwa mchezaji alieshinda vikombe vyote kwa ngazi ya klabu na timu ya Taifa.
Tovuti ya Kandanda inakuletea baadhi ya wachezaji ambao wamekosa ama wamepoteza nafasi katika vikosi vya kwanza vya timu zao,
Katika michezo ya leo ya raundi ya 22 Simba, Azam fc na Yanga zote zimeshuka dimbani leo.
The Southern Killers” wamesajili jumla ya wachezaji watano wapya huku pia wakiwaacha wachezaji watano na kuwatoa kwa mkopo wachezaji watatu.
Mbwana Samatta pia alidokeza alikua akimfwatilia Gabriel Agbolanhor alipokua akiitumikia klabu hiyo iliyopo jiji la Birmingham.