Kilomoni sio mdhamini wa Simba Sc
Mzee Kilomoni ameonekana kuwa ni kikwazo kwa muda mrefu katika mabadiliko ya klabu hiyo.
Mzee Kilomoni ameonekana kuwa ni kikwazo kwa muda mrefu katika mabadiliko ya klabu hiyo.
Vilabu vinaweza kuwa na utaratibu ambao umekubalika wa kupunguza utegemezi, na kuangalia zaidi kushinda na kuwekeza zaidi kwa lengo hilo hilo la kupunguza utegemezi.
Katika orodha hii, kuna sura ngeni akiwemo Salim Aiyee huku wengine wakiachwa kutoka katika kikosi cha Amunike cha awali.
Mchezaji huyo aliyefunga magoli 18 msimu jana kwenye ligi kuu, na akafunga magoli 2 kwenye mechi za mtoano ya kupanda ligi kuu.P
Simon Msuva, Sai kama wanavyomuita uwanjani ameingia katika rekodi muhimu katika mchezo unaoendelea muda huu.
Katika mechi 44 Tanzania ilizokutana na Kenya, Tanzania imeshinda mechi 14, sare 14 na kupoteza 20.
Kitu muhimu ni kuwaunga mkono Taifa Stars huko waliko wapate ushindi.
Vilabu vyote 20 vinatakiwa kuona hii na kuwa na wivu hata wa kukopa sehemu ili vitengenez pesa hii.
CAF hivi karibuni imekumbwa na tuhuma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya rushwa.
Hizi ni takwimu chache kwa msaada wa mitandao tofauti. Michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika inaanza leo.