‘Fyeka Burundi’ wanadhani ni maneno tu!
Tanzania itacheza leo dhidi ya Burundi na kauli mbiu hii kama imeshapuuziwa na Burundi, basi ilete maana sasa ndani ya uwanja zaidi.
Tanzania itacheza leo dhidi ya Burundi na kauli mbiu hii kama imeshapuuziwa na Burundi, basi ilete maana sasa ndani ya uwanja zaidi.
Simba imefunga mabao 139 katika ya 1,140 yote yaliyofungwa na timu za Ligi kuu msimu 2017/18 na 2018/19.
Klabu ya Munasa Fc ipo katika ziara ya kimichezo katika jiji la Dar es salaam.
Shirikiaho haliwezi kukimbia jukumu la kuendesha na kusimamia soka la vijana kwa manufaa ya nchi.
Vilabu vinavyoshiriki ligi kuu vinatakiwa kuwa viwanja imara, pamoja na mambo mengine. Hii inaweza kuwa ni mwanzo tu.
Klabu ya KMC iliyochini ya Juma Mgunda, inaendelea na mazoezi yake kujiandaa na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi Kuu Tanzania ba
Yanga imeweka kambi Morogoro, ikijiandaa na mechi za Ligi kuu na Mabingwa wa Afrika, pamoja na maandalizi ya Wiki ya Mwananchi ambalo linalenga kuitaambulisha timu kwa wananchi.
Matukio haya yote yanayoendelea nchini kwa mashabiki wa Yanga ni kwaajili ya kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi
Aishi Manula na David Mwantika kuukosa mchezo wa leo kutokana na taarifa za majeruhi ambayo Daktari wa timu ataelezea hapo baadae.
Unamkumbuka Marcio Maximo? Kocha wa zamani wa Taifa Stars na baadae Yanga Sc.. Pitia moja ya makala hii ambayo iliandikwa kipindi hicho na Dizo Moja (2009).