Kama sio Kagere, basi ingekuwa Aiyee
Tuandikie mapendekezo yako pia mchezaji bora wa mwaka, Timu Bora ya Mwaka na Kocha Bora wa Mwaka pamoja na kupiga kura yako.
Tuandikie mapendekezo yako pia mchezaji bora wa mwaka, Timu Bora ya Mwaka na Kocha Bora wa Mwaka pamoja na kupiga kura yako.
Kwa matokeo hayo sasa Yanga imevuna alama 4 mkoani Mbeya na sasa wanajiandaa kuwavaa Biashara Utd jijini Dar kabla ya kuelekea January 4 kucheza na mtani wake Simba katika uwanja wa Taifa.
Klabu ya Stellenbos inayoshirki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini ndio inatajwa kutaka saini ya kiungo huyo mkabaji wa KMC.
Kwa matokeo hayo sasa Killi Stars inakua na alama tatu baada ya michezo miwili huku Zanzibar Heroes wakibaki na alama yao moja walioipata katika mchezo wa kwanza dhidi ya Sudan.
Hawa ndiyo wachezaji waliocheza au kuitwa katika kikosi cha Taifa Stars katika safari ya AFCON 2021 nchini Cameroon.
“Nilikuwa naona kwa sababu na mimi niko kwenye mitandao Nilijisikia kawaida tu wala haikunivunja moyo, Lakini Mimi nafahamu Sisi Watanzania
Ungana nasi kupiga stori kuhusu mechi zote za leo Ligi kuu ya Vodacom Tanzania hapa, ukiwa pamoja na waandishi na wachambuzi wa kandanda.
Sasa Kandanda itasheherekea vizuri na mfungaji magoli wa kila mwezi kwa kupata pia kiatu kizuri na msosi bab’kubwa kutoka Mgahawa Cafe & Restaurant.
Ikumbukwe Vodacom iliingia mkataba na TFF katika kudhamini ligi kuu Tanzania bara kwa miaka mitatu. Mkataba huo unaifaidisha TFF kiasi cha Bilioni 9 ndani ya miaka mitatu.
Leo anamtihani mzito dhidi ya timu yake ya nyumbani