Morrison kuufunika ufalme wa Deo Kanda?
Lakini baada ya ujio wa Morrison mashabiki wa Yanga wamekua wakisikika wakisema nawao wamepata Deo Kanda wao, kwa maana wamepata kiungo mahiri wa pembeni mwenye uwezo kama wake.
Lakini baada ya ujio wa Morrison mashabiki wa Yanga wamekua wakisikika wakisema nawao wamepata Deo Kanda wao, kwa maana wamepata kiungo mahiri wa pembeni mwenye uwezo kama wake.
Ditram Nchimbi aka Duma 29 amekabidhiwa kiatu chake ikiwa ni sehemu ya kusheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi kwa mwezi.
uatilia matukio katika picha wakati wa mechi kati ya Yanga na Kagera, mchezo ambao ulikuwa ni wa kwanza kwa Luc Eymael
Klabu ya Simba imeshindwa kutwaa taji la Mapinduzi baada ya kufungwa na Mtibwa Sugar.
Yanga yaishukuru SMZ kwa kuandaa mashindano ya Mapinduzi…..Stori zaidi.
Hatuna uhakika kama viongozi wa kamati ya ulinzi uwanjani waligundua hili, Kandanda iliona hili na kushangaa.
Mwandishi wa makala hii anaanza kwa kutoa angalizo hizi ‘Hii ni kwa wenye Akili!!! Haiwahusu mbumbumbu.’ Endelea kuisoma…..
Haruna Moshi msimu uliopita alikua akiitumikia Yanga chini ya Mwalim Zahera kabla ya msimu kuisha na Yanga kuamua kuachana nae lakini sasa amerudi kivingine tena VPL.
Ikiwa kama ligi ingekuwa ikichezwa Januari-Disemba kwa mwaka, hii ndiyo ripoti yetu.
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2019 , ingia ndani ya kandanda.co.tz andika kura yako kwenye tovuti na mshindi atapewa tunzo na Kandanda.co.tz