Tazama msimamo uone KMC ilivyoweka rekodi ya kutisha!
Tazama hapa msimamo uone jinsi form za timu mbalimbali katika michezo yake mitatu ya mwisho kabla Ligi haijasimama.
Tazama hapa msimamo uone jinsi form za timu mbalimbali katika michezo yake mitatu ya mwisho kabla Ligi haijasimama.
Mapumziko haya yatazisaidia timu kuweza kupumzika kutokana na ugumu wa ratiba na pia kuweza kutulia kufanya marekebisho ya makosa yao.
Sven Vadebroek amesema mchezo wa kesho sio mchezo wa kawaida kutokana na kucheza na wapinzani wao wakubwa katika Ligi.
Ama kwa hakika kwa Feisal amefufuka wakati muafaka haswa katika kulekea mchezo dhidi ya Simba na hivyo kumpa mwalimu uchaguzi mwingi katika eneo la kiungo.
David Molinga ameonekana kutokua nyuma katika vita hii huku akianza kujitutumua na kwa mara ya kwanza msimu huu Molinga.
Ni utaratibu wetu kusheherekea na wafungaji mabao mengi kila mwezi, mechi za mzunguko wa 26 na 27 zitaamua nani atakuwa galacha wa magoli mwezi huu wa nne.
Yanga iliingia ligi daraja la kwanza rasmi mwaka 1948 ligi wakati huo ikiongozwa na chama cha soka mkoa wa Pwani tu.
Tujifunze jinsi ya kuonyesha hisia zetu katika mitandao hiyo, la sivyo tunaweza kuwa tunaharibu milango ya wachezaji wengine kutoka Tanzania.
Klabu ya Yanga tayari imeshaitisha mkutano wa dharula ambao utafanyika mwezi ujao (Februari), mabadiliko yanaichukua iliko Simba Sc?
Baada ya kauli hiyo TFF ikaamua kuipa kamati ya maadili maagizo juu ya mlinda mlango huyo kinda.