Timu NNE za kuzikamia msimu huu
Klabu ya Simba inaweza kuwa nanafasi nzuri kutwaa tena tuzo hii msimu huu, lakini pia itatakiwa kuzingatia takwimu hizi.
Klabu ya Simba inaweza kuwa nanafasi nzuri kutwaa tena tuzo hii msimu huu, lakini pia itatakiwa kuzingatia takwimu hizi.
Mtandao wetu unatumia takwimu husika zinazokusanywa katika mtandao wetu, takwimu hizo zinatumika katika kusheherekea na wachezaji wanaofanya vizuri uwanjani.
Ngoja niwape kichekesho cha mwisho nendeni kwenye page ya Yanga kule Instagram muangalie kwanini waliiondoa picha ya mshambuliaji wa Ghana ambaye tulijulishwa amesajiliwa??
Hizi ndio timu bora 10 katika mechi 106 zilizocheza kwa misimu mitatu. Lakini kumbuka, kuna timu mbili katika timu hizi bora msimu ujao hatutakuwanazo katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mwaka 1985 alitajwa kuwa ndiye mchezaji bora wa mwaka wa Zambia.
Wapenzi wa kubashiri taarifa hii iwafikie muda huu wakati Ligi zikianza kurudi, anza kunoa vidole vyako Parimatch hii hapa.
Unadhani ni rahisi kuwekeza Bilioni 20 kwa mkupuo kwenye biashara yenye thamani ya Bilioni 4? Hebu twende darasani sasa..
Unakumbuka adhabu iliyopata benchi la Ufundi la Yanga? Kuna vitu vya kujifunza.
Wanasoka magwiji duniani wananjia tofauti jinsi wanavyoingia katika soka, kwa upande wa Afrika huwa hatutaji sana Shule za Soka.
Sabato amekabidhiwa zawadi zake kutoka katika mtandao wetu, na ameongea na mtandao wetu