Pia kwakumpanga Saidoo namba 10 halafu Chama winga moja na winga nyingine huanza Sakho, ambapo mara nyingi Chama huingia ndani na kumfanya Shomary Kapombe au Mohamed Hussein kupanda na kushambulia kwakutokea pembeni na hapa ndio tatizo lapili huonekana.
pambano hilo linalotarajia kupigwa Februari 24, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza sambamba na Tony Rashid atakayepanda ulingoni kutetea mkanda wake wa Ubingwa wa ABU dhidi ya Sabelo Ngabinyana wa Afrika Kusini.
wachezaji wazuri ndio chachu ya mafanikio katika klabu lakini Mazembe kwa sasa ina wachezaji wazuri wasiozidi watano ambao wanaweza kucheza katika klabu zetu hapa Tanzania.
Inonga, Onyango na Kennedy wawe mbele ya Manula, nina uhakika Simba watarudi nyumbani na alama tatu.
Yanga washakamilika kila idara ila wanaonesha mwanga mkubwa kuwa huko wanakoelekea watafika haraka sana kabla ya wengine.
Hili linaingia kwenye uongozi tena, yule Mangungu kama alikua na hela ya kumkatia tiketi Manzoki aje Tanzania katika kampeni za uchaguzi
Pia Juma aliwasisitiza mashabiki kutimiza wajibu wao kwasababu mpira ni starehe na burudani tosha.
Katika zoezi hilo alikuepo Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe ambae hakusita kuwaita Wananchi siku ya Jumapili ili kuwashangilia wachezaji wao na kuiteketeza TP Mazembe.
KMC imepokea basi lakisasa kabisa lenye uwezo wakubeba watu zaidi ya 50. Basi hilo limekabidhiwa mbele ya viongozi wote wa mkoa na wilaya.
Wachezaji wetu wanajua jinsi ya kucheza hii michezo, yaani mchezo ukiwa unaanza hawa kina Kapombe, Tshabalala wanakua ni mara kumi na moja zaidi ya uwezo wao,”