Man U na Man City zakimbiana, Barcelona waikomalia City
Miongoni mwao ni pamoja na usajili wa Ngolo Kante na hatma ya kiungo wa Man City Benardo Silva.
Miongoni mwao ni pamoja na usajili wa Ngolo Kante na hatma ya kiungo wa Man City Benardo Silva.
Mbrazil huo pia amesema kwa kiasi kikubwa watatumia wachezaji ambao wamekua hawapati nafasi katika kikosi cha kwanza kutokana na jinsi ratiba ilivyowabana.
Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limeufungia uwanja wa Mkapa ambao unatumiwa na vilabu vya Simba na Yanga kama uwanja wao wa nyumbani ili uweze kufanyiwa marekebisho madogo
Yanga wanahitaji kushinda mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi yakufuzu robo fainali kwani kusuasua kwa Mazembe kumezidi kuwapa nafasi katika kundi hilo ambalo US Monastir anaonekana ndio mbabe
Baada ya vigogo hao kumaliza ratiba zao tarehe 18 na 19 ya mwezi wa tatu watapumzika na kuipisha timu ya Taifa ya Tanzania kucheza michezo yake ya kufuzu Afcon
Kwenye ligi tayari wana nafasi finyu yakutwaa ubingwa na tayari wameshaachwa alama nane na watani zao Yanga wanaoongoza Ligi.
Kuna kipengele cha kumrudisha nyota wao huyo kwa ada ya pauni milion 70 baada ya misimu miwili kumalizika
Kwa upande wa tuzo ya Puskas goli bora la mwaka imekwenda kwa Marcin Oleksy
Mpaka sasa Marcus Rashford ameifungia Machester United mabao 25 katika michuano yote na magoli matatu katika timu yake ya Taifa England katika kombe la Dunia.
Katika mchezo huo Inonga na Onyango walicheza dakika zote tisini na kufanikiwa kulinda ngome yao na kumaliza mchezo kwa mara ya kwanza bila nyavu zao kutikiswa