Simba ni Chama, Chama ni Simba.
Simba watajilaumu wenyewe kwa kutoka na ushindi mwembamba kwani walitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini hawakuzitumia
Simba watajilaumu wenyewe kwa kutoka na ushindi mwembamba kwani walitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini hawakuzitumia
Pia kocha Nabi amesema mchezo wa kwanza uliopita kule Mali umewapa morali yakupambana kutokana na kukosa alama tatu dakika za mwishoni.
Pia kocha huo ameongeza wapinzani wake anawajua kwani amewasoma vyema na anajua jinsi ya kuwadhibiti Waganda hao.
Opa aliiongoza timu yake ya Simba Queens kufika nusu fainali ya Ligi ya mabingwa ya wanawake Afrika waliposhiriki kwa mara ya kwanza msimu uliopita.
Yanga wamesema wapo tayari kumpokea mchezaji wake huyo baada ya maamuzi ya kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji kumhalalisha kuendelea kuwatumikia Wananchi.
Yacouba Sogne ameoneoana kuanza kuimarika baada ya kupona majeraha ya goti yaliyomuweka nje mda mrefu sana na kupelekea Yanga kuamua kuachana nae.
Na tayari muitikio mkubwa umeonekana huku baadhi ya mashirika na watu binafsi wakinunua tiketi 100 mpaka 300 kwa wakati mmoja ilo zigawiwe kwa wanawake wataokwenda katika mchezo huo.
Mlinzi huyo wa kati alikuwepo wakati Simba inafuzu robo fainali mbele ya AS Vita katika msimu wa mwaka 2019 kabla yakutolewa na TP Mazembe robo fainali.
Ally amesema Sawadogo ni mchezaji mzuri shida tu kwamba bado hajazoea mazingira na anakosa utimamu wa mwili lakini si mchezaji mbovu kama wanavyosema.
Shirikisho la soka nchini linatarajiwa kuendesha droo ya robo fainali pia kutaja uwanja utakaotumika katika michezo ya fainali na nusu fainali mapema mwezi huu.