Mshindi wa michuano hiyo ndio ataiwakilisha nchi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Hivyo ni wazi vilabu vya Azam Fc na Singida Big Stars vitaendelea kukabana koo ili kupata ushindi na kupata nafasi ya kuwakilisha nchi Kimataifa
Michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA mwaka huu itafanyika nchini Saudi Arabia kati ya Desemba 12-22.
Kiungo huyo wa zamani wa Simba amesema sio lazima aitwe aende akacheze lakini kuwepo kwenye programu za mwalimu ni kitu muhimu kwake
Unakamilishaje wiki yako ewe gwiji la kubashiri bila hujapita dula la ubashiri la Meridianbet? Haiwezi kukamilika nakupa mbinu rahisi ya kutochana mkeka wako
Mwisho wa siku ni Mchezaji wa timu ya Taifa huwezi kumuacha kwa sababu hachezi , hata mimi nimecheza timu ya Taifa wakati nilikuwa sichezi timu ya Klabu,
Akizungumzia tuzo hiyo msemaji wa klabu ya Yanga wamesema wanafurahia kwa alichofanya Musonda lakini pia watafanya kazi kubwa kumzuia maana tayari amejiweka sokoni.
Adel Amrouche aliyetangazwa hivi karibuni kupewa mikoba ya Stars amewajumuisha wachezaji wengi wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi akichanganya na baadhi wanaocheza Ligi ya ndani.
Kamwe pia amewaita mashabiki na wanachama wote wanaotokea mkoani wakifika Jijini Dar wasipate tabu waende moja kwa moja Makao makuu ya klabu Jangwani.
Aidha pia Ahmed amesema wao hawawezi kuweka kiingilio bure katika mchezo huo kama ambavyo Mamelody Sundowns walifanya dhidi ya Al Ahly
Katika hatrick zote sita ni Jean Baleke ndio ameweka rekodi tofuati katika ufungaji wake mpaka sasa.